PICHA ZA WANAFUNZI 32 , WALIMU 2 NA DEREVA MMOJA WALIOFARIKI KATIKA AJALI HUKO ARUSHA | BONGOJAMII

PICHA ZA WANAFUNZI 32 , WALIMU 2 NA DEREVA MMOJA WALIOFARIKI KATIKA AJALI HUKO ARUSHA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Juzi wanafunzi 32 wa darasa la saba, walimu 2 na dereva wa gari la shule ya msingi iitwayo Lucky Vicent ya Arusha walifariki dunia majira ya saa 3 asubuhi baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali katika eneo Rhotia Marera, Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha.


==>Hizi ni picha za walimu na wanafunzi waliofariki katika ajali hiyo


Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts