OMMY DIMPOZ ACHAFUA INSTAGRAM , ATUMA UJUMBE MZITO BAADA YA DIAMOND KUACHIA NYIMBO MPYA USIKU | BONGOJAMII

OMMY DIMPOZ ACHAFUA INSTAGRAM , ATUMA UJUMBE MZITO BAADA YA DIAMOND KUACHIA NYIMBO MPYA USIKU

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Kitendo cha Diamond Kutoka Wimbo mpya aliyowashirikisha WCB Wote unaitwa Zilipendwa Kimemchoma Kumoyo Ommy Dimpoz na Kuamua Kutoa Dongo Kali Kwa Diamond, Ommy Dimpoz na Ali Kiba Wanafanya Kazi Pamoja Kwenye Lebo ya Rockstar, hivyo kitendo cha Diamond Kutoa wimbo mpya kimewakasirisha Timu Kiba Kwani inaonekana ni njia za kuuzima wimbo wa Bosi wao Ali Kiba Uliotoka Jana.....

Ujumbe wa Ommy Dimpoz Huu Hapa Chini:


Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts