SIRI NZITO YAFICHUKA , BABA MZAZI WA MTOTO WA HAMISA MOTETO KUJULIKANA | BONGOJAMII

SIRI NZITO YAFICHUKA , BABA MZAZI WA MTOTO WA HAMISA MOTETO KUJULIKANA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Baada ya mda mrefu kuibuka maneno ya chini chini kuwa Mtoto aliyejifungua Hamissa mobeto ni wa Diamond Platnumz huku Mama Diamond na Diamond mwenyewe wakishindwa kukana tuhuma hizo

Siku ya jana Ijumaa kamera za shilawadu ziliwanasa live hospitalini Mama Diamond,Mama Rommy na Esmaplatnumz hospitalini wakitoka kumjulia hali Hamissa Mobeto

TAZAMA VIDEO YA KUNYAPIA NYAPIA
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts