MAJIBU YA NAPE BAADA YA KUULIZA SWALI BUNGENI | BONGOJAMII

MAJIBU YA NAPE BAADA YA KUULIZA SWALI BUNGENI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea leo April 12, 2017 kipindi cha maswali na katika Mkutano wa Saba, Kikao cha Sita likiwa Bunge la Kumi na Moja ambapo miongoni mwa waliouliza maswali ni Mbunge wa Mtama Nape Nnauye.

Baada ya kuuliza swali hilo, Nape Nnauye ameyaandika maneno manne katika account yake ya Twitter “Happily saving my Jimbo!” – Nape Nnauye.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts