MALINZI AFUNGUKA MAZITO JUU YA TETESI ZA KUZUIA POINT TATU ZA SIMBA | BONGOJAMII

MALINZI AFUNGUKA MAZITO JUU YA TETESI ZA KUZUIA POINT TATU ZA SIMBA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Baada ya kusambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii kwa taarifa zinazodaiwa kutoka kwa Rais wa TFF Jamal Malinzi kuwa ametengua maamuzi ya kamati ya saa 72 kuipa Simba point tatu dhidi ya Kagera Sugar katika kikao chao cha juzi April 13, Rais wa TFF Jamal Malinzi amekanusha taarifa hizo.

Jamal Malinzi amekanusha taarifa feki zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zikidai kuwa yeye ametengua maamuzi ya kamati ya saa 72 ya kupewa point tatu kwa Simba, Malinzi amenadika ujumbe kupitia ukurasa wake wa twitter “Taarifa zinasombaa kwenye mitandao kuwa nimetengua maamuzi ya kamati ya uendeshaji wa ligi si za kweli.TFF ina taratibu zake za kutoa maamuzi”



Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts