SUGU AMTUPIA LAWAMA NAIBU SPIKA KWENYE SAKATA LA WABUNGE KUTUKANA BUNGENI | BONGOJAMII

SUGU AMTUPIA LAWAMA NAIBU SPIKA KWENYE SAKATA LA WABUNGE KUTUKANA BUNGENI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi amehoji inakua vipi mbunge wa Goodluck Mlinga wa CCM amekuwa akitukana wapinzani mara kwa mara bungeni ila hachukuliwi hatua


Amesema walipoomba mwongozo wa matusi ya mbunge huyo naibu spika alisema tukio hilo lilitokea siku iliyopita hivyo halipaswi kuzungumziwa lakini Freeman Mbowe aliitwa kwenye kamati ya maadili kutokana na kauli iliyoombewa muongozo na Kangi Lugola ambayo Mbowe aliitamka na siku tatu zilipita

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts