UNA TATIZO LA KUTOKWA DAMU KWENYE FIZI?? TUMIA NJIA HIZI KUMALIZA TATIZO HILO | BONGOJAMII

UNA TATIZO LA KUTOKWA DAMU KWENYE FIZI?? TUMIA NJIA HIZI KUMALIZA TATIZO HILO

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Inawezekana ukawa ni miongoni kati ya watu ambao huwa unasumbuliwa na tatizo la fizi kutoka damu mara kwa mara na hujajua nini cha kufanya ili kumaliza tatizo hilo.

Huenda kuna wakati umejikuta ukimega tunda na kujikuta limebaki na damu kutoka kwenye fizi kama ni hivyo basi tambua unatatizo la fizi zako kuvuja damu

Kama ni kweli unasumbuliwa na shida hiyo, au ndugu, rafiki yako basi mnaweza kutumia njia hii ifuatayo kumaliza tatizo hilo.

Unachopaswa kufanya ni kutafuta majani ya mpera na kuyaosha vizuri kwa maji safi na salama kisha tafuna majani hayo asubuhi na jioni kwa mda usiopungua dakika kumi kila siku kwa wiki moja mfululizo hadi mbili na utaona mabadiliko.


Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts