ZITTO KABWE AISHUTUMU SERIKALI KWA KUVUNJA KATIBA BUNGENI LEO | BONGOJAMII

ZITTO KABWE AISHUTUMU SERIKALI KWA KUVUNJA KATIBA BUNGENI LEO

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Amendika katika ukurasa wake wa facebook,kwamba serikali hutakiwa kuwasilisha taarifa ya CAG bungeni ndani ya siku saba tangu kuanzia kwa bunge la bajeti.

Anasema mpaka sasa taarifa hiyo haijawasilishwa hivyo kuvunja katiba ya jamhuri inayotaka iwasilishwe ndani ya Siku saba.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts