Bonyeza
HAPA kudownload applicationi ya
Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Ousmane Dembele akifanyiwa vipimo vya afya mjini Barcelona, Hispania jana baada ya kuwasili kujiunga na timu yake hiyo mpya kufuatia kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 96 kutoka Borussia Dortmund ya Ujerumani

Ousmane Dembele akiwa ameketi mbele ya beji ya Barcelona Uwanja wa Nou Camp
Bonyeza
HAPA kudownload applicationi ya
Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka