HII NDIO SABABU YA KUVUNJIKA URAFIKI WA WEMA NA AUNT EZEKIEL | BONGOJAMII

HII NDIO SABABU YA KUVUNJIKA URAFIKI WA WEMA NA AUNT EZEKIEL

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Usiku wa jana Mwigizaji wa Bongo Aunty Ezekiel kutoka kwenye red carpet Mlimani City Dar es salaam kwenye uzinduzi wa movie mpya ya Wema Sepetu alijibu swali la kwanini uhusiano wake na Wema Sepetu umepungua.


“Mimi nahisi labda mazingira ambayo tunaishi, mimi nimenza kuishi na mtu na yeye amekua mwenyewe… labda mimi huku nakuwa busy na mtoto kwahiyo tunatofautiana mazingira ambayo tunaishi lakini kusema uhusiano umepungua kutokana na sababu nyingine sio kweli” – AUNTY EZEKIEL

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts