Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Barcelona ambao kwa sasa wanahangahika kupata mbadala wa Neymar ambaye ndio wanaona kuwa Coutinho atafaa, wamekataliwa ofa ya tatu ya pound milioni 113 ambayo inaweza kufikia hadi pound milioni 118 kwa Liverpool ili wakubali kumuachia nyota huyo ajiunge na Barcelona.
Coutinho ni moja kati ya wachezaji wa Liverpool waliyoisaidia timu hiyo kumaliza nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu msimu 2016/2017 na kujihakikishia nafasi ya kucheza UEFA Champions League, Coutinho katika msimu wa 2016/2017 wa EPL ameifungia Liverpool magoli 13 na kutoa assist saba katika michezo 31 aliyocheza.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka