MANARA : NOYONZIMA NA BOCCO WAKO FITI | BONGOJAMII

MANARA : NOYONZIMA NA BOCCO WAKO FITI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Kiungo Haruna Niyonzima ameanza mazoezi na wenzake kujiandaa na michezo inayofuata ya Ligi Kuu Bara.

Niyonzima aliumia katika mechi ya kwanza ya ligi hiyo akiichezea Simba dhidi ya Ruvu Shooting.

Msemaji wa Simba, Haji Manara amethibitisha Niyonzima kuanza mazoezi.

Pamoja na Niyonzima, Manara amesema, John Bocco naye ameanza kujifua na wenzake kwa ajili ya maandalizi ya mechi hizo zijazo.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts