DIAMOND PLATNUM AFANYA KUFURU YA KUTISHA MKOANI IRINGA...TAZAMA JINSI ALIVYOWAPAGAWISHA WAKAZI WA IRINGA | BONGOJAMII

DIAMOND PLATNUM AFANYA KUFURU YA KUTISHA MKOANI IRINGA...TAZAMA JINSI ALIVYOWAPAGAWISHA WAKAZI WA IRINGA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Usiku wa Dec 25, 2016 wakali wa Bongo Fleva akiwemo Diamond Platnumz, Harmonize, Rayvanny, Queen Darleen, Q Boy, Chege pamoja na msanii kutoka Nigeria Kcee wameandika historia katika mkoa wa Iringa.

Show hiyo iliyopewa jina la Vodacom Wasafi Festival imefanyika katika uwanja wa Samora Stadium, hizi ni baadhi ya picha kutoka mahali palipofanyika tamasha hilo.














Advertisement
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts