DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI WAMTUMIA UJUMBEE HUU MREMBO VERA SIDIKA | BONGOJAMII

DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI WAMTUMIA UJUMBEE HUU MREMBO VERA SIDIKA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Kuna uwezekano mkubwa hamu ya Vera Sidika kutamani mtoto imekuja baada ya kumuona mtoto wa pili wa Zari aliyejifungua Jumanne hii.

Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo wa Kenya ameandika ujumbe wa kumpongeza Zari na kuongeza kuwa inawezekana yeye ndio akafuata.

“Congratulations on your bundle of Joy @zarithebossladyHappy For you doll 🎊😍❤️You just raised my baby fever from 50 to 100 😩 sigh!!! Maybe I’m Next 🤔,” ameandika Vera kwenye mtandao huo.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts