VIDEO==>> MCHUNGAJI GWAJIMA ASEMA ATAMFUFUA AMINA CHIFUPA..JIONEE HAPA | BONGOJAMII

VIDEO==>> MCHUNGAJI GWAJIMA ASEMA ATAMFUFUA AMINA CHIFUPA..JIONEE HAPA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Tujikumbushe Gwajima Alipotoa kauli ya kumfufua Amina Chifupa, Nimekuwekea Video kuhusu Kumfufua Amina Chifupa aliyefariki mda mrefu uliopita. Askofu Gwajima anadai Moja ya mtu aliyerudishwa kutoka kwenye msukule ndio aliesema alimwacha Amina Chifupa akiwa huko kwenye misukule


Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts