Duh!! Eti Mtoto wa Rais Mteule Gambia Amefariki Dunia kwa Kuumwa na Mbwa. | BONGOJAMII

Duh!! Eti Mtoto wa Rais Mteule Gambia Amefariki Dunia kwa Kuumwa na Mbwa.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD



Mtoto wa kiume wa rais mteule wa Gambia, Adama Barrow amefariki akiwa njiani kupelekwa hospitali baada ya kuumwa na mbwa.




Habibou Barrow alifariki Jumapili baada ya kukumbwa na mkasa huo katika eneo la Manjai karibu na Mji mkuu Banjul ambapo mazishi yake tayari yashafanyika.



Rais Mteule, Barrow ambaye ana wake wawili na watoto wengine wanne, yuko nchini Senegal kabla ya kuapishwa kuwa rais wa Gambia siku ya Alhamisi.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts