Hatarii:Dada wa Diamond Platnumz afunguka kuwa huwa hatongozwaji bali huwa anatongoza.. | BONGOJAMII

Hatarii:Dada wa Diamond Platnumz afunguka kuwa huwa hatongozwaji bali huwa anatongoza..

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

MWANAMUZIKI ambaye ni memba wa Kundi la WCB, Mwanaisha Abdul ‘Queen Darleen’ aliye pia dada wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ametoa kali ya mwaka baada ya kufunguka kuwa katika mapenzi kitu ambacho hakipendi ni kutongozwa na mwanaume hivyo huwa anapenda kutongoza.



Akistorisha na Mikito Nusunusu Darleen, alisema kitendo cha yeye kumtongoza mwanaume anaamini kwamba anakuwa amempenda kutoka ndani ya moyo wake lakini akitongozwa wakati mwingine wanaume wanakuwa ni waongo hawana nia ya dhati.


“Katika maisha yangu yote huwa sipendi kutongozwa napenda nitongoze kwa sababu naamini nikifanya hivyo nakuwa nimempenda mwanaume kweli kwani watongozaji wengi ni waongo na ninajijua kabisa kwamba sina bahati kwenye mapenzi,” alisema.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts