Walio Mwibia Young Dee Account ya Instagram Wairudisha....Young Dee Afunguka Haya... | BONGOJAMII

Walio Mwibia Young Dee Account ya Instagram Wairudisha....Young Dee Afunguka Haya...

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Rapper Young alihakiwa akaunti yake ya Instagram yenye followers Milioni Moja na kuibadili jina kisha kuanza kutangaza matangazo ya biashara mbali mbali ila leo ameweza kuipata account hiyo

Meseji kutoka kwa Young Daresalaama hii hapa chini:

"YoungDaddyIsBack .
I got my account back!!! Sijui hata nianzie wapi kuwashukuru, You guys are more than fans, you are family to me now... Account nisingeipata bila support yenu!!! I Thank God for giving me the strength to Stand Positive! πŸ™πŸ½Thank you guys for supporting me!!πŸ™πŸ½ Thanks to the Media Supporting my Music!!!πŸ™πŸ½Bila Support yenu kiukweli sijui, only God knows. Shukran za dhati ziende kwa kila mmoja wenu!!! πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½ #YoungDaddyIsBack #GodBlessThisHustle "
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts