MSANII 50 CENT , AIPAISHA VIDEO YA DIAMOND PLATNUM NA NE-YO..TAZAMA HAPA | BONGOJAMII

MSANII 50 CENT , AIPAISHA VIDEO YA DIAMOND PLATNUM NA NE-YO..TAZAMA HAPA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD


Tovuti ya thisis50.com ilianzishwa na idara mpya ya habari iliyo chini ya Rapper maarufu wa Marekani 50 Cent mwaka 2007 kwa lengo la kuendeleza na kusambaza habari za utamaduni wa pop na hiphop



Mwimbaji Mtanzania Diamond Platnumz ameingia kwenye rekodi ya kuwa msanii wa kwanza Mtanzania video yake kuwekwa kwenye tovuti hiyo kupitia single yake mpya aliyomshirikisha Mmarekani Ne-Yo ‘Marry You”
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts