PAUL Makonda Ashindwa Kufika Clouds FM Kutoa Ufafanuzi Kuhusu Elimu na Mali Zake | BONGOJAMII

PAUL Makonda Ashindwa Kufika Clouds FM Kutoa Ufafanuzi Kuhusu Elimu na Mali Zake

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Jana Redio ya Clouds kupitia kipindi cha Power Breakfast walitangaza kuwa siku ya Leo Atakuja mkuu wa Mkoa Paul Makonda kutolea ufafanuzi mambo mbali mbali kuhusu yeye ambayo yamekuwa yakiongelewa na kushutumiwa bila yeye kutoa majibu.

Sasa asubuhi ya Leo kipindi hicho kimeomba radhi kuwa Leo Mh Paul Makonda hata weza kuja kwenye kipindi hicho kutokana na majukumu ya kiserikali yanayomkabili siku ya leo

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts