Pichaa==>Thea Atinga Ofisini kwa Kamishna wa Madawa ya Kulevya Leo | BONGOJAMII

Pichaa==>Thea Atinga Ofisini kwa Kamishna wa Madawa ya Kulevya Leo

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD


Msanii mkongwe wa filamu Thea ameibua maswali kwa wadau wa mambo baada ya kuonekana mchana huu akiwa ofisi ya Kamishna wa operesheni wa mamlaka ya kupambana na kuzuia dawa za kulevya iliyopo Upanga jijini Dar es salaam.


Hivi karibuni wasanii mbalimbali wa filamu na muziki wamekuwa wakitajwa kuhusika katika sakata la biashara haramu ya madawa ya kulevya.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts