Ray C Afunguka==>Nilianza Mapenzi Nikiwa na Umri wa Miaka 16 | BONGOJAMII

Ray C Afunguka==>Nilianza Mapenzi Nikiwa na Umri wa Miaka 16

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Alikuwa akihojiwa kipindi cha Planet Bongo,
amezungumzia mambo mengi ikiwemo bifu za wasanii, kutoa albamu, alivyoanza mapenzi .
Amedai bifu ni nzuri sababu zinachangamsha muziki, alianza mapenzi akiwa na miaka 16 ila walaiachana kutokana na utoto na pia amedai watu wanamiss albamu kama zamani kwa kuwa siku hizi wasanii hawatoi tena, pia amesema sasa hivi ana nyimbo 8 tayari Mtazame Hapa:
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts