Ubuyu Wa Moto Moto==>>Mwimbaji Barnaba Kumfumania Mkewe na Mwanaume Mwingine? | BONGOJAMII

Ubuyu Wa Moto Moto==>>Mwimbaji Barnaba Kumfumania Mkewe na Mwanaume Mwingine?

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Mke wa Barnaba Akiwa na Bwana Mwigine
Jana February 15 2017 kupitia XXL ya clouds FM, Soudy Bwown ametuletea U Heard inayohusu mwimbaji staa wa Bongofleva Barnaba kudaiwa kuachana na mke wake.

Kwa mujibu Soudy Brown inadaiwa Barnaba amefikia hatua ya kuachana na mke wake baada ya kumfumania mke wake hivyo ikabidi ahame nyumbani na kutafuta sehemu nyingine. Soudy Brown kapiga stori na msanii wa Bongofleva kumuuliza kuhusu taarifa hizo za rafiki yake Barnaba.

‘Mimi nakaa karibu na Barnaba, taarifa hizo ningekuwa nimeshazisikia kwa hiyo ngoja nizifuatilie’ – Amini
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts