VIDEO/PICHA==>>HAYA APA MATUKIO MUHIMU KWENYE 40 YA MTOTO WA DIAMOND | BONGOJAMII

VIDEO/PICHA==>>HAYA APA MATUKIO MUHIMU KWENYE 40 YA MTOTO WA DIAMOND

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Msanii wa muziki Diamond Platnum Juamosi hii amefanya sherehe ya arobaini ya mwanaye Nillan ambapo kwa mara ya kwanza, mtoto huyo ameoneshwa sura hadharani katika sherehe ya aina yake, iliyofanyika nyumbani kwao, Madale jijini Dar es Salaam.

Nillan alizaliwa nchini Afrika Kusini, yalipo makazi ya mwanamama Zari na tangu kuzaliwa kwake, hakuwahi kuoneshwa sura hadharani hata siku moja mpaka siku ya arobaini yake.













Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts