VIDEO==>>Yusuph Manji Arudishwa Ndani Kituo Cha Polisi Baada ya Kutaka Kutoka | BONGOJAMII

VIDEO==>>Yusuph Manji Arudishwa Ndani Kituo Cha Polisi Baada ya Kutaka Kutoka

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Mfanyabiashara Yusuph Manji leo amefika kituo cha polisi kati kama alivyoahidi jana baada ya kutajwa kwenye orodha ya watu 65 na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.


Yusuph Manji alifika asubuhi kwenye kituo cha Polisi cha kati ambapo baadaye alionekana akiwa anatoka nje ya kituo kuondoka lakini ghafla akazuiwa na Polisi na kumwambia anahitajika ndani ten.


==>Litazame tukio zima hapo chini


Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts