Wapi Twaelekea?? Mchungaji Aambulia Kichapo Kanisani Huko Sengerema Akituhumiwa ni Freemason | BONGOJAMII

Wapi Twaelekea?? Mchungaji Aambulia Kichapo Kanisani Huko Sengerema Akituhumiwa ni Freemason

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Yohana, Dayosisi ya Victoria Nyanza, Parishi ya Bomani wilayani Sengerema, mkoai Mwanza wamemshushia kipigo Mchungaji wa kanisa hilo, Joseph Kwangu wakati wa ibada ya jumapili ikiendelea, baada ya waumini hao kumtuhumu mchungaji kufanya mambo yanayoendana na ishara wanazozitumia Freemason. Waumini hao waliamua kubandika matangazo ndani ya kanisa, vyooni, milango ya kuingilia kanisani kumtaka mchungaji huyo asiingie ndani ya kanisa hilo.

Waumini wa kanisa la Anglikana la Mtakatifu Yohana, Dayosisi ya Victoria Nyanza, Parishi ya Bomani wilayani Sengerema, mkoai Mwanza wamemshushia kipigo Mchungaji wa kanisa hilo, Joseph Kwangu wakati wa ibada ya jumapili ikiendelea,…
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts