BAADA YA KUACHIWA HURU, LEMA AJIANDAA KUTOA WARAKA MZITO KWA RAIS MAGUFULI | BONGOJAMII

BAADA YA KUACHIWA HURU, LEMA AJIANDAA KUTOA WARAKA MZITO KWA RAIS MAGUFULI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD


MBUNGE wa Arusha Mjini kwa Tiketi ya Chadema, Godbless Lema jana Machi 3, 2017 ameachiwa huru na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kwa dhamana ya milioni 1 huku akipewa masharti ya kuwa na wadhamini wawili wanaokidhi vigezo kwa mujibu wa sheria.


Mbunge Lema aliyesota mahabusu kwa takribani miezi minne akikabiliwa na kesi ya uchochezi, katika Gereza Kuu la Arusha lililopo Kisongo, hatimaye amepata dhamani na kupokewa kwa mbwembe na washabiki wake waliomtandikia kanga ili apite wakati akitoka mahakamani hapo.


Mara tu baada ya kuachiwa huru, Lema amesema kuwa ameandaa Walaka Maalum kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu mateso wanayoyapata watu waliyoko mahabusu na kwamba atautoa siku za hivi karibuni.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts