BAADA YA KUFANANISHWA NA PANYA.....STEVE NYERERE AMPA JIBU ZITO MSANII TID | BONGOJAMII

BAADA YA KUFANANISHWA NA PANYA.....STEVE NYERERE AMPA JIBU ZITO MSANII TID

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Msanii mchekeshaji Steven Nyerere ameendelea kum diss TID kwa kusema ni mtu ambaye wakati wake umepita na pia hajielewi na hawezi kujifananisha naye
Amedai msanii huyo anaishi kwao na amekuwa akimpiga vizinga vya 10,000 na 5,000 kila akiona gari lake huku yeye akiwa ana nyumba na anatunza familia na kununua mafuta ya magari kadhaa
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts