MASHABIKI WAMPA FUNZO ZITO MREMBO TUNDA, WAMTAKA KUHESHIMU UJAUZITO WAKE | BONGOJAMII

MASHABIKI WAMPA FUNZO ZITO MREMBO TUNDA, WAMTAKA KUHESHIMU UJAUZITO WAKE

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Tunda wa pili (kulia) akiwa na baadhi ya mastaa Bongo
Muuza nyago kwenye video za mastaa wa Bongo flevaTunda Sebastian ambaye amekuwa gumzo baada ya jina lake kuwa katika orodha ya awamu ya pili ya wafanyabiashara, watumiaji na wasafirishaji wa unga iliyotwaja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam paul makonda, anadaiwa kuwa mjamzito na hajisitiri.


Tunda Kushoto akiwa na rafiki yake
Mashabiki wamemtaka staa huyo ajisitiri kwani mavazi yake kwa sasa yanalionesha tumbo lake ambalo limeanza kuwa kubwa.
“Hatukatai kama Tunda ni staa na tunamfatilia sana ila ajisitiri sana bwana kitumbo ndiii”, alimaliza shabiki huyo huku akiomba kutoandikwa jina lake


Picha ya Tunda iliyozua gumzo mtandaoni

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts