MAZITO HAYA, BIASHARA YA MAHINDI YA KUCHOMA YAPIGWA MARUFUKU | BONGOJAMII

MAZITO HAYA, BIASHARA YA MAHINDI YA KUCHOMA YAPIGWA MARUFUKU

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Kutokana na upungufu wa chakula, Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Senyamile apiga marufuku biashara ya mahindi ya kuchoma ili kukabiliana na tatizo la njaa.

Je, unahisi kupigwa marufuku kwa biashara ya kuchoma mahindi kutasaidia kupunguza tatizo la njaa ?

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts