VIDEO, HIVI NDIVYO HARMORAPA ALIVYOTIMUA MBIO BAADA YA POLISI KUTOA BASTOLA KUDHIBITI NAPE NNAUYE | BONGOJAMII

VIDEO, HIVI NDIVYO HARMORAPA ALIVYOTIMUA MBIO BAADA YA POLISI KUTOA BASTOLA KUDHIBITI NAPE NNAUYE

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Leo Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Nape Nnauye na nafasi yake amepewa Dr. Mwakyembe.


Baadaye Nape Nnauye alitoa taarifa kuwa atazungumza na waandishi wa habari lakini Meneja wa Hotel ambayo mkutano ulitakiwa ufanyike alisema ameagizwa kuwaambia waandishi watawanyike na hakutakuwa na mkutano.


Saa chache baadae Nape Nnauye alifika eneo hilo lakini alizuiwa na askari huku wakimrudisha ndani ya gari.


Katika sakata hilo, Askari mmoja aliamua kutoa bastola na kuielekeza kwa Nape. Msanii Harmorapa alikuwepo jirani na Nape wakati tukio hilo likitokea...


==>Mshuhudie hapo chini alivyotimua mbio baada ya bastola kutolewa

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts