VIDEO==> MAFURIKO YALIYOTOKEA LEO JIJINI DAR ES SALAAM YASABABISHA KIFO CHA MTU MMOJA | BONGOJAMII

VIDEO==> MAFURIKO YALIYOTOKEA LEO JIJINI DAR ES SALAAM YASABABISHA KIFO CHA MTU MMOJA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Mvua ya takribani saa tatu iliyonyesha leo March 8 2017 jijini Dar es salaam na kusababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo ya Jiji, Tabata na Jangwani ndio maeneo yanayoripotiwa kuathirika zaidi na Mvua hiyo ambapo taarifa zimedai kuwa mtu mmoja amepoteza maisha kutokana na mafuriko hayo.

Bonyeza play hapa chini kutazama.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts