Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Soudy Brown alipiga story na Young Dee kujua ukweli kuhusu video hiyo na majibu yake yalikuwa haya
“Nilikuta watu wana mzuka na mimi nikajichanganya kucheza, so, kama kuna mtu alishoot mimi sijui chochote. Amber Lulu ni msanii tu halafu ni mtu ambaye sijawahi hata kukaa naye.” – Young Dee.
Alipoulizwa Mamisa kuhusu video hiyo alisema:...
”Mimi sina mapenzi na mtu, Young Dee siyo mpenzi wangu. Huwezi kuwa na mtu ambaye haeleweki maana kuna vitendo mtu anaweza kufanya vikawa vinakuumiza. Mimi nipo kwao na naishi kwao ila kuna vitu vingine vinaumiza na mimi ndio najua uchungu wa mtu.
“Mimi sijamkataza Young Dee kuwa na mtu ila muda mwingine unatakiwa mtu ujielewe, siyo unamuonesha mtu hadharani halafu wakati mwingine unamwambia anatukana. Hebu imagine, ungekuwa wewe ungefanyaje?” – Mamisa
Bonyeza Play hapa chini kusikiliza…
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka