Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Leo April 15 2017 Rais Magufuli anazindua hostel mpya za wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ‘UDSM’ baada ya kukamilika ujenzi wake ambapo zitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 3,840.
Itakumbukwa kuwa September 6, 2016 Rais Magufuli alifanya ukaguzi wa hostel hizo ambazo zimejengwa na Wakala wa Majengo nchini TBA katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Unaweza kutazama hapa LIVE kwa kubonyeza play…
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka