Bonyeza
HAPA kudownload applicationi ya
Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii mapema leo, inaeleza kuwa Mabweni ya Chuo cha Uuguzi yaliyopo eneo la Ifisi Mbalizi, Mbeya yameteketea kwa moto. Jeshi la Zimamoto lipo eneo la tukio kuhakikisha mambo yanakaa sawa kutokana na moto ulio zuka na kuteketeza baadhi ya mabweni hayo, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana habari kamiri baadae kidogo
Bonyeza
HAPA kudownload applicationi ya
Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka