NAY WA MITEGO AMJIBU YUSUPH MLELA BAADA YA KUOMBWA PAMBANO | BONGOJAMII

NAY WA MITEGO AMJIBU YUSUPH MLELA BAADA YA KUOMBWA PAMBANO

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD


Siku chache sasa zimepita tangu muigizaji staa wa Bongo movie Yusuph Mlela kuomba pambano la ngumi dhidi ya rapa Nay Wa Mitego, sasa kinachoendelea ni kwamba ujumbe huo umemfikia mhusika.

Kutokana na ujumbe huo wa Yusuph Mlela kwenye EXCLUSIVE interview na Ayo TV Entertainment na millardayo.com Nay ameelezea majibu ya ombi hilo ambapo mbali na kuzungumzia pambano aliloombwa, pia Nay ametupa good news za kumtambulisha msanii mpya kwenye label yake.

Bonyeza play kutazama…

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts