RC MAKONDA AANDIKA UJUMBE MZITO WENYE FUMBO NDANI YAKE | BONGOJAMII

RC MAKONDA AANDIKA UJUMBE MZITO WENYE FUMBO NDANI YAKE

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

RC wa Dar Ameandika ujumbe wa mafumbo kupitia ukurasa wake wa Instagram, Haijaeleweka na Nani analegwa hapo..Embu jisomee na wewe labda unaweza tegua mtego

By @paulmakonda
"Hakuna kitu kibaya kama kudanganywa na mtu huku ukijua anakudanganya na wakati huo huo anaekudanganya hajui kama unajua anakudanganya. Basi kazi yako inakuwa nikucheka kimoyomoyo"
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts