SAA 61 ZA KUTOWEKA KWA ROMA NA WENZAKE ZAZUA UTATA MKUBWA | BONGOJAMII

SAA 61 ZA KUTOWEKA KWA ROMA NA WENZAKE ZAZUA UTATA MKUBWA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Ripoti zinaeleza kuwa Roma pamoja na wenzake watatu walitekwa a watu wasiojulikana siku ya tarehe 5 saa 3 usiku na kuwekwa mahala pasipojulikana hadi kufikia leo kuonekana bila kujua alikuwa wapi na kwanini walitekwa.

maswali yasiyipata majibu hadi muda huu juu ya kyutekwa kwa wasanii hao ni kwamba walikuwa wapi? Polisi walifikaje bado hawajatoa ufafanuzi? ni kwanini Roma na wenzake walitekwa ndani ya masaa hayo walikuwa wapo katika hali gani

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts