VIDEO: RC MAKONDA ACHARUKA , AWAPA SIKU 10 WAUZA CD JIJINI DAR | BONGOJAMII

VIDEO: RC MAKONDA ACHARUKA , AWAPA SIKU 10 WAUZA CD JIJINI DAR

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

RC PAUL MAKONDA
Hatua hiyo imefuata baada ya kundi la wasani wa 'Bongo Movie' likiongozwa na Jacob Steven- JB kufika kufika ofisini kwake na kumeleza namna ambavyo baadhi ya Watanzania wenye maduka ya filamu kutoka nje ya nchi yanavyochangia kuua tasnia ya Filamu Tanzania.

Mkuu wa Mkoa Dar es salaam Paul Makonda (katikati) akiwa Kamanda Siro kwenye Picha ya Pamoja na Baadhi ya Wasanii waliofika Ofisini hapo


Baada ya kupokea malalamiko hayo Mkuu wa Dar es salaam Paul Makonda akiwa na Kamishna wa Polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Simon Siro ameamuru wote wanaojihusisha na biashara ya kuzalisha filamu za Nje kufunga biashara hiyo ndani ya Siku 10 au wahakikishe zinakuwa zinatambuliwa na Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) vinginevyo.., Nini kitafuata? Vyote amezungumza kwenye Video hapo chini...

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts