COMMENT YA NUHU ZIWANDA KWENYE PICHA YA SHILOLE NA MPENZI WAKE MPYA YAWAVURUGA MASHABIKI | BONGOJAMII

COMMENT YA NUHU ZIWANDA KWENYE PICHA YA SHILOLE NA MPENZI WAKE MPYA YAWAVURUGA MASHABIKI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Toka Shilole aanzishe uhusiano mpya wa kimapenzi amekuwa sio mtu wa kuyaweka hadharani sana ikiwa ni pamoja na kumficha mpenzi wake huyo mpya ambaye amefahamika kwa jina la Uchebe lakini Gossip Cop Soudy brown alifanikiwa kuipata picha yao na kuipost kwenye ukurasa wake.



Baada ya Soudy kuipost na kuandika ‘Shishi Baby Na Uchebe wake wanawasalimia wana nzengo’ alipokea comments kutoka kwa watu tofauti akiwemo mpenzi wa zamani wa Shilole, Nuh Mziwanda ambae aliandika ‘Hakika wamependezana’



Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts