MANJI AZIDI KUONJA JOTO YA JIWE, AENDELEA KUSOTA MAHAKAMANI | BONGOJAMII

MANJI AZIDI KUONJA JOTO YA JIWE, AENDELEA KUSOTA MAHAKAMANI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
KESI inayomkabili mfanyabiashara na aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji, imeahirishwa leo hadi Agosti 22 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kusomewa maelezo ya awali mbele ya Hakimu Mkazi, Cyprian Mkehe.


Maelezo hayo yalisomwa na wakili wa serikali, Timon Vitalis, yalihusu utambulisho wa jina lake kamili, kazi anayofanya, tarehe aliyokamatwa, alivyopelekwa kwa mkemia na alivyopekuliwa nyumbani kwake. Katika kesi hiyo Manji anawakilishwa na wakili Alex Mgongolwa.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts