Bora ule sumu kuliko kula hela ya serikali – Rais Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa kula hela za serikali ni sawa na kula sumu kwahiyo ni bora ...
habari HUENDA UCHAGUZI KENYA UTASOGEZWA MBELE Uchaguzi mpya wa urais nchini Kenya huenda ukaahirishwa kutoka tarehe 17 mwezi ujao. Tume ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, imekuwa ikikutana k...
habari MBUNGE CHADEMA KUPELEKA HOJA BUNGENI ,MUDA WA URAIS UPUNGUZWE Mbunge wa Tarime Vijijini kupitia (CHADEMA) John Heche amefunguka na kusema anakusudia kuwasilisha bungeni hoja binafsi ili kupunguza mud...
habari SABABU ZA UTETEZI WA MANJI KUSOGEZWA MPAKA SEPT 25 MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, 'imepiga kalenda' kusikiliza ushahidi wa utetezi wa kesi ya kutumia dawa za...
habari MKURUGENZI TANESCO ALIMWA BARUA YA KUJIELEZA Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk Medard Kalemani amemtaka Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Dk Tito M...
habari WATU 7 WASHIKILIWA NA POLISI KWA MAUAJI YA WANAWAKE KWA IMANI ZA USHIRIKINA Na Tiganya Vincent -RS –TABORA WATU saba wa kijiji cha Mwambondo wilayani Uyui wanashirikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwashamb...
habari VIDEO : MSIGWA NA LEMA WAFUNGUKA MAZITO WALIPOHOJIWA NAIROBI KUHUSU TUNDU LISSU Wabunge wawili wa Chadema wametumia mahojiano nje ya nchi kuzungumzia matatizo ya Tanzania wakisema hayawezi kumalizwa na mtu mmoja bali k...
habari WATU 13 WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI Watanzania 13 wamefariki na wengine nane kujeruhiwa katika ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la biashara Lubanda takribani...
habari UPELELEZI KESI YA KABURU NA AVEVA WAKAMILIKA Upelelezi wa awali katika kesi ya utakatishaji fesha inayowakabili Rais wa Simba SC, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ u...
habari MJAMZITO ACHOMWA MKUKI , WAWILI WACHOMWA MOTO Watu watatu wameuawa kwenye Bonde la Yaeda Chini katika matukio tofauti, ikiwamo wawili kuteketezwa kwa moto, huku mjamzito akichomwa mkuk...