habari HUENDA UCHAGUZI KENYA UTASOGEZWA MBELE Uchaguzi mpya wa urais nchini Kenya huenda ukaahirishwa kutoka tarehe 17 mwezi ujao. Tume ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, imekuwa ikikutana k...
habari MBUNGE CHADEMA KUPELEKA HOJA BUNGENI ,MUDA WA URAIS UPUNGUZWE Mbunge wa Tarime Vijijini kupitia (CHADEMA) John Heche amefunguka na kusema anakusudia kuwasilisha bungeni hoja binafsi ili kupunguza mud...
habari SABABU ZA UTETEZI WA MANJI KUSOGEZWA MPAKA SEPT 25 MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, 'imepiga kalenda' kusikiliza ushahidi wa utetezi wa kesi ya kutumia dawa za...
habari MKURUGENZI TANESCO ALIMWA BARUA YA KUJIELEZA Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk Medard Kalemani amemtaka Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Dk Tito M...
habari WATU 7 WASHIKILIWA NA POLISI KWA MAUAJI YA WANAWAKE KWA IMANI ZA USHIRIKINA Na Tiganya Vincent -RS –TABORA WATU saba wa kijiji cha Mwambondo wilayani Uyui wanashirikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwashamb...
habari VIDEO : MSIGWA NA LEMA WAFUNGUKA MAZITO WALIPOHOJIWA NAIROBI KUHUSU TUNDU LISSU Wabunge wawili wa Chadema wametumia mahojiano nje ya nchi kuzungumzia matatizo ya Tanzania wakisema hayawezi kumalizwa na mtu mmoja bali k...
habari WATU 13 WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI Watanzania 13 wamefariki na wengine nane kujeruhiwa katika ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la biashara Lubanda takribani...
habari UPELELEZI KESI YA KABURU NA AVEVA WAKAMILIKA Upelelezi wa awali katika kesi ya utakatishaji fesha inayowakabili Rais wa Simba SC, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ u...
habari MJAMZITO ACHOMWA MKUKI , WAWILI WACHOMWA MOTO Watu watatu wameuawa kwenye Bonde la Yaeda Chini katika matukio tofauti, ikiwamo wawili kuteketezwa kwa moto, huku mjamzito akichomwa mkuk...
habari ZITTO KABWE AANIKA HADHARANI ALICHOAMBIWA NA LISSU HOSPITALI Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amefunguka na kudai amerudi nchini akiwa na unyenyekevu mkubwa zaidi kwa sababu ya nguvu na ujasiri ali...
habari FAMILIA YA LISSU KUKUTANA KWENYE KIKAO KIZITO Shangazi yake Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, Ninaa Sawa(kushoto) akiwa na mama mdogo wa Lissu, Bula Muro nyumbani kwa wazazi wa ...
habari WANAFUNZI 16,000 HATARINI KUKOSA MIKOPO YA ELIMU YA JUU WAKATI mwezi mmoja umebaki kabla ya mwaka mpya wa masomo kuanza kwa vyuo vikuu nchini, Wanafunzi wa elimu ya juu wapatao 16,000 kati ya 6...
habari BRAZIL YAISAMEHE TANZANIA DENI LA BILLION 445 Serikali ya Brazil imeisamehe Tanzania deni Dola 203milioni ambazo sawa Bilioni 445 ambalo limetokana na mkopo uliotolewa kwaajili ya ujen...
habari POLISI WAMKAMATA MBUNGE MSUKUMA GEITA Polisi mkoani Geita wanamshikilia Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Joseph Kasheku (Musukuma) kutokana na vurugu zilizotokea eneo la mgodi...
habari POLISI YAFAFANUA SAKATA LA WATOTO WATATU KUPOTEZA MAISHA KWENYE MLIPUKO WA BOMU ARUSHA Kamanda wa polisi Arusha Charles Mkumbo amewataka viongozi waliopo karibu na kambi za mazoezi ya kijeshi kuweka utaratibu wa kuwakumbusha ...
habari POLISI WAWILI WAHUKUMIWA MIAKA 35 JELA Mahakama Kuu ya Tanzania imewahukumu askari Polisi wawili wa kutoka kituo cha Oysterbay jijini Dar es Salaam na watu wengine sita kwenda j...
habari CHANZO CHA MOTO KWENYE NYUMBA YA ZITTO CHAANIKWA HADHARANI Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Ferdinand Mtui amesema kuongezeka joto katika betri za sola ndio chanzo cha moto uliounguza Nyumba ya Mb...
habari RC MAKONDA ATANGAZA NEEMA HII KWA WATUMISHI WA DAR ES SALAAM Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza mpango kabambe wa kuwasaidia watumishi wa umma kutokana na kazi ngumu wanazozifanya ...
habari BAVICHA WATANGAZA SIKU RASMI YA KUSOMA ALBADILI Baraza la Vijana wa CHADEMA wilayani Muheza mkoani Tanga wamekanusha kusoma albadili ambayo walidhamiria kuifanya siku chache zilizopita,...
habari MKUU WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI APATA AJALI Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoani Pwani (SSP) Abdi Issango amelazwa kwenye Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi Kibaha ...