CHECK VIDEO:WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATNUMZ WALIVYOWEZA KUSHEREHEKEA MWAKA 2017 | BONGOJAMII

CHECK VIDEO:WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATNUMZ WALIVYOWEZA KUSHEREHEKEA MWAKA 2017

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Katika Hali ya Kuukaribisha mwaka Mpya 2017 na Kuuaga mwaka 2016 kila mtu ameweza kushiriki kinamna yake kwa kadri alivyoweza kujaaliwa. imeweza kukusanyia matukio 2 ya Masupa Star wawili wa Tanzania ambao waliwahi kuwa Couple moja Matata sana siku za nyuma, hapa ninamzungumzia Bosi wa WCB Wasafi yaani Diamond Platnumz pamoja na Tanzania Sweetheart kama wengi wanavyopenda kumwita, mimi nina mwita Wema SepetuWatu hawa wameweza kuukaribisha Mwaka 2017 kwa Stairi tofauti, Diamond Platnumz yeye akiwa katika Kasri lake la Kifahari huko Afrika Kusini akiwa pamoja na Familia yake ameweza kushare nasi Video kupitia mtandao wa Snapchart na sisi tukaona sio vibaya kukusogezea hapa.
Kwa upande wa pili nikimaanisha Wema Sepetu yeye ameweza kuukaribisha Mwaka akiwa na Marafiki zake wa karibu katika moja ya Sehemu ya Starehe huku wakifurahia mwaka mpya kwa pamoja.


Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts