HAKIKA HII INASHANGAZA...KUTANA NA KABILA WANAO FUKUA MAITI NA KUWAVISHA SUTI MPYA... | BONGOJAMII

HAKIKA HII INASHANGAZA...KUTANA NA KABILA WANAO FUKUA MAITI NA KUWAVISHA SUTI MPYA...

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Maiti baada ya kufukiliwa na kuvalishwa suti mpya.
INDONESIA: Kabila la Torajan la nchini Indonesia wamefukua maiti za ndugu zao kwenye makaburi na kuzivika nguo mpya.
Tukio hilo hufanyika kila baada ya miaka mitatu ambapo hufukua maiti na kuzivika nguo mpya ikiwa ni pamoja na kubadili majeneza ya zamani na kuweka mapya.
Ndugu wakionesha maiti iliyovikwa suti na nyingine ambayo haijavikwa suti.

Maiti baada ya kuvikwa nguo tayari kurudishwa kaburini.

Ndugu wakipiga picha na maiti.
Picha ya maiti iliyopigwa akiwa hai na baada ya kufukuliwa.Maiti ikirudishwa kwenye jeneza tayari kwa kuzikwa tena.
Baada ya kuzivika nguo hizo tukio la kupiga picha za kumbukumbu hufuata na baada ya tukio hilo maiti hizo hurudishwa kwenye makaburi yao na kufukiwa tena.
Tamasha hilo hujulikana kwa jina la Ma’nene.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts