Kudadadeki==>>Unaikumbuka Ile Chura ya Snura,Sasa Ona hapa Jinsi Wanaijeria Wanavyoicheza na Kuiimba livee(Video) | BONGOJAMII

Kudadadeki==>>Unaikumbuka Ile Chura ya Snura,Sasa Ona hapa Jinsi Wanaijeria Wanavyoicheza na Kuiimba livee(Video)

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD


Wimbo wa msanii Snura ambao ulifungiwa kwa mara ya kwanza na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) 'Chura' umeonekana kuwakosha baadhi ya raia wa Nigeria baada ya msanii mkubwa wa Nigeria Don Jazzy kujirekodi video huku akiimba na kucheza ngoma hiyo


Baadhi ya mashabiki wa Tanzania pia wamepokea vyema video hiyo na kutoa sifa nyingi kwa Don Jazzy kwa kitendo cha kuimba ngoma hiyo ya Singeli pia wametoa pongezi nyingi kwa Snura kwa ngoma yake hiyo.


"Lol TZ did I get it right? #255 #Chura" alipost Don Jazzy


Hii ni sehemu ya video hiyo


Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts