WASANII WANAOKULA UNGA WAMTESA HARMONIZE...AFUNGUKA MAZITO JUU YA WASANII HAO | BONGOJAMII

WASANII WANAOKULA UNGA WAMTESA HARMONIZE...AFUNGUKA MAZITO JUU YA WASANII HAO

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Baada ya kuibuka kwa jinamizi kwa upande wa wasanii wengi kuingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya, Harmonize amefunguka yake ya moyoni.

Hitmaker huyo wa Matatizo, ameamua kutoa yake ya moyoni kupitia mtandao wa Instagram kutokana na kile kinachoendelea na kuwakumba baadhi ya wasanii ambao walikuwa wakikubalika kwa mashabiki.

Kupitia mtandao huo, Harmo ameandika:

Daaah Mungu tunusuru na hili janga la #Unga mana sisi tuna ushawishi mkubwa na tunatizamwa na watu wengi walio timamu na wasio timamu pia tunaigwa….!!! kwanini isiwe kwa watu wengine…..?? mbona kila siku sisitu…..?? #Muzi & #Muvie 🙏
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts