BREAKING NEWS==>>Mahakama Kuu yazuia Mbowe asikamatwe | BONGOJAMII

BREAKING NEWS==>>Mahakama Kuu yazuia Mbowe asikamatwe

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD


Leo Feb 21, 2017 Mahakama Kuu imeamuru Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe asikamatwe hadi maombi yake kutokamatwa yataposikilizwa siku ya Ijumaa.


Kiongozi huyo wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni tarehe 10 mwezi huu alifungua kesi ya Kikatiba dhidi ya RC Paul Makonda, Kamanda Simon Sirro.


Aidha Mahakama imewaushauri upande wa mlalamikaji kurekebisha hati ya mashtaka kisha wairudishe tena siku ya Jumatatu.


- Siku ya jana Mawakili wa Mbowe waliweka pingamizi la kutokamatwa kwa kiongozi huyo lakini kabla taarifa hazijalifikia Jeshi la Polisi, Mbunge huyo wa Hai akatiwa nguvuni. ANGALIA VIDEO HAPO CHINI KUHUSU ZUIO LA MAHAKAMA
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts