Breaking News(Video)==>>Wema Sepetu Amuumbua Makonda,Adai Anatembea na Agnes Masogange na Amempangishia Nyumba Upanga Ndio Maana Hajamtaja Kwenye List. | BONGOJAMII

Breaking News(Video)==>>Wema Sepetu Amuumbua Makonda,Adai Anatembea na Agnes Masogange na Amempangishia Nyumba Upanga Ndio Maana Hajamtaja Kwenye List.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD


Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha tukio hilo na hila dhidi yake.


Pamoja na mambo mengine, Wema amedai kwamba RC Paul Makonda anatembea na Agnes Masogange na amempangia nyumba Makongo ndio maana hajakamatwa ktk kadhia ya Dawa za Kulevya.

Zaidi Msikie Hapa Wema Sepetu Akifunguka Kila Kitu
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts