Gigy Money Aachana na Mpenzi Wake wa Zamani Mo J, Ahamishia Penzi Lake kwa Joti | BONGOJAMII

Gigy Money Aachana na Mpenzi Wake wa Zamani Mo J, Ahamishia Penzi Lake kwa Joti

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
U heard ya CloudsFM Leo, chini ya mtangazaji Soudy Brown imeleta hii habari inayowahusu Watangazaji wa ChoiceFM, Gigy Money na Mo J ambapo inadaiwa wameachana baada ya Mo J kushtukia.

Inasemekana Mo J ameshtukia mawasiliano ambayo mwenzake alikuwa akiyafanya na mtu mwingine ambayo ikapelekea ugomvi hata mmoja kubeba nguo zake, sasa leo Soudy Brown ameongea na wote wawili.


"Mbali na mimi kuwa naye kwenye mahusiano yeye ana mambo yake anayafanya na alikuwa anayafanya labda amejisikia kumpost Joti au ni mshikaji wake" Amesema Mo J

"Nimeamua tu kumpunguza instagram……..kwani Joti hafai kupendwa na Gigy Money na ninakuambia pale sichomoki na nimefika dada yako, Mo J tushamwagana kipindi kitaenda tu" Amesema Gigy Money



Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts